Ibada ya kuingizwa kazini Askofu Mteule Mchg. John Nade Gwandu na Msaidizi wa Askofu Mchg. Ezekiel Dakho Diyame
Katibu Mkuu wa KKKT, Rogath Mollel (kulia), akiwa na Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mbulu, Mwl. Fabian Adayo (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa KKKT, Misioni na Uinjilisti, Mchg. Godfrey Walalaze, katika Ibada ya Wakfu wa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mbulu, leo Februari 8, 2026 katika Usharika wa Haydom.